Jeremiah 15:20-21


20 aNitakufanya wewe uwe ukuta kwa watu hawa,
ngome ya ukuta wa shaba;
watapigana nawe
lakini hawatakushinda,
kwa maana mimi niko pamoja nawe
kukuponya na kukuokoa,”
asema Bwana.

21 b“Nitakuokoa kutoka mikono ya waovu,
na kukukomboa kutoka makucha ya watu wakatili.”
Copyright information for SwhKC